Tuliochaguliwa Nachingwea Teachers Collage tukutane hapa

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Jamani habari zenu,mimi nimechaguliwa chuo tajwa hapo juu,hivyo naomba kukutana na wenzangu waliochaguliwa hapo au wanaosoma hapo ili tujuzane mambo muhimu kuhusu chuo.

Kama jinsi ya kufika chuoni, mazingira, jinsi ya kuripoti, joining instruction n.k na udugu au urafiki unaanzia hapa tukikutana huko hakuna kushangaana.

PIGA/TUMA UJUMBE 0657445777 au niPM.

THANKS.
 
Mkuu Crashwise sijaona pm yako,unaweza kunitext?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…