Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Wengi tulilia Bunge liwe live tukidhani tunahitaji Bunge bila wabunge walio live.
Leo tuna Bunge bila wabunge, tuna Bunge live bila wabunge live Jambo linalopelekea bunge la bajeti kukosa mvuto na kuonekana kama sehemu yakulipana posho.
Toka Bunge limeanza Hadi leo mtifuano wa hoja hakuna, kiti cha spika kimekuwa kinasimama zaidi na serikali kuliko kuliko kusimama Kama waamuzi.
Bunge limekosa kile kilichoitwa Bunge. Wale tuliomba Bunge Live tungeomba na wabunge walio hai kifikra.