Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,672
- 6,880
Heri ya mwaka Mpya.
Namshukuru Mungu kwa uzima.
Ni mwaka sasa tangu niache pombe,
Kabla ya hapo niliishi maisha magumu sana,
Ukata na majuto makuu kuanzia saa 9 Za uck hadi asbh wakati mwingine. Ingawa wakati wa Kunyw Nilikuw nikipata mzuka wa ajabu ulioniletea raha fulan.
Kwa mwaka jana Mzima niliamua kukaa bila Kunyw pombe na kuchepuka ili kutafakri maisha yangu ambayo niliona hayaendi sawa, hasa kiuchumi, mahusiano na mwenza wangu nk.
Pombe nimeweza kwa asilimia Mia moja, Sijagusa na sishawishiki Kugusa.
Kuchepuka nimefeli kidogo, tena nimeanguka Mwishoni Mwishoni, imeniuma sana Lkn basi, ilikuwa November Mwishoni trh 26, na December trh 24 nimechepuka Mara 2 na totoz 2.
Kwa kipindi chote hicho nimeweza kusimamia maamuzi yangu, kwa kutafuta nguvu na hekima Kw kusoma biblia yote,
Pia kufatilia mahubir mbalimbali kwny vyombo mbalimbali vya hbr. Kiukweli vimenisaida sana.
Ila kwa mwaka huu ntakaa nijipange upya.
Wekeni hapa uzoefu wenu tupeane maarifa.