Tuliofanikiwa kuacha pombe hadi 2018 tupeane uzoefu

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,672
Reaction score
6,880
Heri ya mwaka Mpya.
Namshukuru Mungu kwa uzima.
Ni mwaka sasa tangu niache pombe,
Kabla ya hapo niliishi maisha magumu sana,
Ukata na majuto makuu kuanzia saa 9 Za uck hadi asbh wakati mwingine. Ingawa wakati wa Kunyw Nilikuw nikipata mzuka wa ajabu ulioniletea raha fulan.
Kwa mwaka jana Mzima niliamua kukaa bila Kunyw pombe na kuchepuka ili kutafakri maisha yangu ambayo niliona hayaendi sawa, hasa kiuchumi, mahusiano na mwenza wangu nk.
Pombe nimeweza kwa asilimia Mia moja, Sijagusa na sishawishiki Kugusa.
Kuchepuka nimefeli kidogo, tena nimeanguka Mwishoni Mwishoni, imeniuma sana Lkn basi, ilikuwa November Mwishoni trh 26, na December trh 24 nimechepuka Mara 2 na totoz 2.
Kwa kipindi chote hicho nimeweza kusimamia maamuzi yangu, kwa kutafuta nguvu na hekima Kw kusoma biblia yote,
Pia kufatilia mahubir mbalimbali kwny vyombo mbalimbali vya hbr. Kiukweli vimenisaida sana.
Ila kwa mwaka huu ntakaa nijipange upya.
Wekeni hapa uzoefu wenu tupeane maarifa.
 
Hv bongo kuna rehab za wanywa pombe...zile mnakaa kudiscuss how to stop pamoja na kupewa mentor wa kukusaidia
 
mniombee na mimi,nina mpango wa kuacha soda,nataka nijikite na maji na juisi za kutengeneza,tatizo hii kitu sprite sijui wameitia nini kila nikiacha naanza kuinywa tena.
Eh eh unahudhulia sana harusi boss....jitahidi mda wote uwe na chupa ya maji itapunguza kiu na kishawishi cha kuongeza kinywaji tofauti
 
Mwaka huu nmejiwekea malengo ya kuwa na rltnship nzuri lkn sio kuacha pombe
 
Nimeshindwa kukuelewa inakuwaje mtoto wa kiume utumie avatar ya kike? Hii ni dalili ya nini?
 
Eh eh unahudhulia sana harusi boss....jitahidi mda wote uwe na chupa ya maji itapunguza kiu na kishawishi cha kuongeza kinywaji tofauti

katika kazi ya umc kuna changamoto mbili kuhusu kinywaji...kiu na energy,sasa hizi sprite na fanta zinakata kiu na kuongeza nguvu hata kama hujala zinapoteza njaa!sasa maji yanakata kiu tu hapo ndio mtihani
 
Huwa nawashangaa watu wasiojua faida ya pombe
 
Tatizo ni umaskini wetu tu na siyo pombe.

Ukifanya sensa wanaokunywa pombe na wasiokunywa pombe utakuta wanaokunywa pombe ndio wamefanya maendeleo zaidi kuliko wasiokunywa pombe.

Ukiwauliza pesa waliyosevu kwa kutokunywa pombe iko wapi hamna kitu.
 
Nimeshindwa kukuelewa inakuwaje mtoto wa kiume utumie avatar ya kike? Hii ni dalili ya nini?
Tambua hapa ni Jf na sio Fb.
Ww jina na foto ni halisi?
 
Hongera mkuu, hakuna lisilowezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…