maswali mengine bna....hovyo hovyo tu...sasa wewe Transfer umepata..unauliza nini sasa???jaman kwa ambao tmepata transfer na tlikuwa hatjafanya registration kweny vyuo vya mwanzo baada ya kulipa transfer fees yao kwa usahihi hiv tnaenda moja kwa mja kwny vyuo tlivo hamishiwa kfanya usajil au kna utaratbu mwngne unafata?? mweny uelewa atujuze basi
maswali mengine bna....hovyo hovyo tu...sasa wewe Transfer umepata..unauliza nini sasa???
ww mchapafito cjawah kuona umemjbu mtu kistaarabu ''nawasi wasi xana na IQ yako"" mm nmeuliza mtu anaweza kwnda kurpot alipohamishiwa au bado knautaratbu mwngne""" labda ww ulitaka niulze vp? au hum ndan cku hiz mtu huruhusiw kuuliza?????
Ztatoka kesho mkuuvip transfer za arts
mambo ya mitandao bwana...ha ha ha ha ha...laiti ungejua MCHAPAFITO ni nani...usinge andika hayo hapo juuww mchapafito cjawah kuona umemjbu mtu kistaarabu ''nawasi wasi xana na IQ yako"" mm nmeuliza mtu anaweza kwnda kurpot alipohamishiwa au bado knautaratbu mwngne""" labda ww ulitaka niulze vp? au hum ndan cku hiz mtu huruhusiw kuuliza?????
are u a university student????pole sana kijanaww mchapafito cjawah kuona umemjbu mtu kistaarabu ''nawasi wasi xana na IQ yako"" mm nmeuliza mtu anaweza kwnda kurpot alipohamishiwa au bado knautaratbu mwngne""" labda ww ulitaka niulze vp? au hum ndan cku hiz mtu huruhusiw kuuliza?????
ulkuwa umetma transfer to medical au"" na vp majna yalyo toka ya wale wa medical haukubahatka kuliona lako?
Hao madogo wamejaribu kufupisha maneno katika sentensi zao.naamini mmewaelewa ndio maana mmejibu walichouliza hata kama hamkujibu kama alivyotarajia.jambo la msingi halikuwa kuwanganga kwa walichouliza au kuandika,mradi ulimuelewa ulipaswa kwanza kumjibu kwa namna unavyoelewa taratibu zilivyo halafu kungefuata kumkosoa na kumrekebisha.
cc:mchapafito,mkoroshokigoli
jaman kwa ambao tmepata transfer na tlikuwa hatjafanya registration kweny vyuo vya mwanzo baada ya kulipa transfer fees yao kwa usahihi hiv tnaenda moja kwa mja kwny vyuo tlivo hamishiwa kfanya usajil au kna utaratbu mwngne unafata?? mweny uelewa atujuze basi
Huyu ningelipenda kujua ni chuo gani anakwenda! Ni vile vya ":UYOGA" , vinamea kama uyoga. hafai huyuare u a university student????pole sana kijana
are u a university student????pole sana kijana
mambo ya mitandao bwana...ha ha ha ha ha...laiti ungejua MCHAPAFITO ni nani...usinge andika hayo hapo juu