Tulioishia shule ya Msingi tukumbushane!

La saba tujivunie jamani,maana bila sisi taifa lingekufa na njaa, kwa uwingi wetu la saba ni wakulima sasa basi bila sisi mtakufa na njaa nyie wakombatia vyeti,
kweri lafiki yang
 
Poleni sna mlioishia msingi

Kwaiyo mlikosa zile shangwe za kuwagegeda watoto wazur tofaut tofaut

Daah chuo raha ww askuambie mtu
 
La saba tujivunie jamani,maana bila sisi taifa lingekufa na njaa, kwa uwingi wetu la saba ni wakulima sasa basi bila sisi mtakufa na njaa nyie wakombatia vyeti,
Kweli kbs maisha kutegemeana, pia sisi wakulima bila hao wasomi huko hospitalini,bank, mahakamani sijui ingekuaje.
 
Kweli kbs maisha kutegemeana, pia sisi wakulima bila hao wasomi huko hospitalini,bank, mahakamani sijui ingekuaje.
Umeona ehh[emoji8] [emoji8] [emoji8] ,ila sisi ndiyo funga kazi,la saba hao hao wakulima,la saba hao hao mafundi wabobezi,la saba hao hao ndiyo wajenzi sio barabara sio maghorofa sio madaraja aiseehh tumetisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…