Kuna mambo ni lazima yawepo JF....Kuna mambo ni lazima ucheke. [emoji23][emoji23]
Kumbe tupo wengiTupo mkuu.
Tupeane pongeziNimekuja tayari nakusikiliza
Kuna mambo usijipachikeKuna mambo sio lazima ubalance[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
kuna mambo sio lazima uyajibuKuna mambo sio lazima ukomment.
Kuna mambo ni lazima yawepo JF....
Kuna malipo ya pensheni?Karibuni wahenga wenzangu.
Kuna mambo si lazima uyazuie....Kuna mambo usijipachike
Kuna mambo lazima yajulikane...Kuna mambo ni lazima yajadiliwe.
Hivi we agata hatujasoma wote shule ya msingi kweli?Tupeane pongezi
Tutaweka kwenye ajenda ijayo.Kuna malipo ya pensheni?
ππ Mimi nahisi tumesoma wote vidudu.Hivi we agata hatujasoma wote shule ya msingi kweli?
Mko vizuri...Wahenga kuwazidi tupo bado pia
2006 - 2008.
Nawasalimu na kupita
Mi vidudu sijasoma ujueππ Mimi nahisi tumesoma wote vidudu.
Kuna mambo lazima yajulikane...
Welcome.Count me in....