Tulioko tayari kuwasindikiza Berkane kesho

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
WanaYanga nadhani kesho ni muda wakuonyesha mshikamano wenu kwa kuwasindikiza Rs Berkane hata Kama wamefungwa wasindikizeni tu maana mliwapokea kwa shangwe
 
Ngoja kwanza nimalizie kumpa ng'ombe wangu majani halafu tuwasindikize kama tulivyowapokea

FB_IMG_1646841811555.jpg
 
Back
Top Bottom