Tulioko uchagani kula christimus tukutane hapa

Tulioko uchagani kula christimus tukutane hapa

Timbwilimbiz

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
201
Reaction score
174
Hapa namuona,
Mosha
Mushi
Munuo
Munisi pia alikuwepo

Pale nimemuona
Masawe na
Masuwe pia alikuwepo

Kule barabarani amepita
Hipolity
Moromboo
Samboro
Gerady pia kaja na boxer

Uuwi naona hawa wengine wanaingia na Machame luxury sasa Ivi karibuni eti,

Je mwenzangu uko na nani hapo!
Nawatakia
Mery Christimus & New year[emoji12]
 
Mimi niko njiani nimepata bahati ya kuzamia baada ya Urio kunialika kwenye saa tatu hivi tunaingia migombani nimemiss mbege siku nyingi sana
 
Shirima, hipoliti na patrisi ndio hao wameingia na meridian...
Swai anaingia na toyota hilux!
Yakubu ndio huyo na lile vx lake...

Karibu tule machalari na mbege!
4524f6831dae500806a0b001d3e42b89.jpg
 
Mimi tayari nakaribia marangu mtoni nipo na kitalyi,mshanga,Lyekule,minja na pale mbele nao Temu anaendesha Pick up yake nyuma kuna mbuzi anachungwa na yule jamaa anaitwa Ndeukoya huku anachoma fegi na chupa ya kirukuu mkononi...yesu rua mangi msongoru kumonyi keghekia maoko wandu wose washike kipuo wandelya nyama na wari necha wateme nekapa sumu ngicha tsa ipfo safarini.aika rua.
 
Shirima, hipoliti na patrisi ndio hao wameingia na meridian...
Swai anaingia na toyota hilux!
Yakubu ndio huyo na lile vx lake...

Karibu tule machalari na mbege!
4524f6831dae500806a0b001d3e42b89.jpg
Yeleuuwi hako kambege hapo pembeni
Kamenona ati
Machalariii
 
Back
Top Bottom