Futa mara mojaSalamu, ndugu jobless wenzangu, hivi sisi tusiokuwa na koneksheni tufanye Nini tutoboe? Maana Kila post ya ajira za vyombo vya dola tunalishwa maneno kwamba "Bila mbanga huko juu hutoboi, nenda kaokote maembe TU bablai"
So, tunatokaje hapo? Nawasilisha. Uzi tayari. Na njaa inauma balaa fanyeni hata chochote kitu 0712728325
Mimi mlinzi wa taifaKaka wewe una koneksheni?😁
johnthebaptistMwenye Dili za kusambaza hashtag Za mama anaupiga mwingi aje private