Tuliokulia miaka ya 79 na 80 ilikuwa kawaida kuonjeshwa bia ya msure

Tuliokulia miaka ya 79 na 80 ilikuwa kawaida kuonjeshwa bia ya msure

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1563368644025.jpeg



Na ukilala mradi uwe umekula, mama hana wasiwasi. Sikuhizi hii inaitwa child abuse.
 
I was between 6 and 8,dingi alinipiga chupa nzima ya Safari(au Primus) kama sikosei...nikalanduka mbaya.huo mtiti wake na bi mkubwa ulidumu wiki nzima na mkong’oto nikala kama leo kwa kosa la juz.ila baada ya pale ikawa sawa tu kuangusha chupa au mbili kabisa. Asante Mungu niliachaga bwii aisee
 
Nikiwa mdogo ilikuwa na Mimi napewa grass yangu ya Prisner Binafsi ime nisaidia sana ukubwani kwani sina hamu na pombe kabisa .
 
Back
Top Bottom