Tuliokulia miaka ya 79 na 80 ilikuwa kawaida kuonjeshwa bia ya msure

I was between 6 and 8,dingi alinipiga chupa nzima ya Safari(au Primus) kama sikosei...nikalanduka mbaya.huo mtiti wake na bi mkubwa ulidumu wiki nzima na mkong’oto nikala kama leo kwa kosa la juz.ila baada ya pale ikawa sawa tu kuangusha chupa au mbili kabisa. Asante Mungu niliachaga bwii aisee
 
Nikiwa mdogo ilikuwa na Mimi napewa grass yangu ya Prisner Binafsi ime nisaidia sana ukubwani kwani sina hamu na pombe kabisa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…