MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Nilikuwa napenda mno Kuiga Kujikunja kama Bruce Lee huku nikirusharusha Viteke vya hapa na pale na mkwara mwingi wa ile Sauti ya Bruce Lee ya kulia kama Paka hivi, lakini kuna Siku niliingia kwa Mtu tukiwa Wawili nakumbuka ukiachia mbali Kuadabishwa nae, ila kama Tanzania siku hiyo ilikuwa inatafuta Wanaridha wa kwenda Olimpiki wangeniona wangenipeleka kwa zile Mbio nilizokuwa nazitimua huko Uso ukiwa Umevimba.