Tuliokuwa vijana wa Mzee Khamsin na baadaye ASP Mrina tukutane hapa

Tuliokuwa vijana wa Mzee Khamsin na baadaye ASP Mrina tukutane hapa

Ralph Tyler

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
2,828
Reaction score
3,579
Lyamungo Secondary School, early to mid 1980's.
Karibuni jamani tukumbushane ya enzi hizo.
 
Heading yako ni tatizo, Ungeanza na jina la shule.
Hata hivyo kuna uzi wa shule tajwa
 
Heading yako ni tatizo, Ungeanza na jina la shule.
Hata hivyo kuna uzi wa shule tajwa
Jina la shule watakuja hadi wa mwaka jana.
Hayo ni majina ya waliokuwa wakuu wa shule, yeyote aliyekutana nao akiona jina hilo lazima akumbuke.
Labda kweli nimebaki mwenyewe anga hizi!

Naomba link ya huo uzi nami nikaperuzi.
 
Back
Top Bottom