R Ralph Tyler JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 2,828 Reaction score 3,579 May 29, 2018 #1 Lyamungo Secondary School, early to mid 1980's. Karibuni jamani tukumbushane ya enzi hizo.
R Ralph Tyler JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 2,828 Reaction score 3,579 May 30, 2018 Thread starter #2 Hivi ni kweli wazee wa vitochi hawamo humu?
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 May 30, 2018 #3 Heading yako ni tatizo, Ungeanza na jina la shule. Hata hivyo kuna uzi wa shule tajwa
J Jorojik JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,512 Reaction score 7,912 May 30, 2018 #4 Ralph Tyler said: Lyamungo Secondary School, early to mid 1980's. Karibuni jamani tukumbushane ya enzi hizo. Click to expand... Umri huo bado upo chit-chat? Aiseee?
Ralph Tyler said: Lyamungo Secondary School, early to mid 1980's. Karibuni jamani tukumbushane ya enzi hizo. Click to expand... Umri huo bado upo chit-chat? Aiseee?
sabosabo JF-Expert Member Joined Dec 16, 2012 Posts 2,050 Reaction score 5,066 May 30, 2018 #5 Tupoo lakini siyo kwa miaka hiyoo Mkuu!
R Ralph Tyler JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 2,828 Reaction score 3,579 Jun 1, 2018 Thread starter #6 Jorojik said: Umri huo bado upo chit-chat? Aiseee? Click to expand... Age ain't no nothing but a number mate!
Jorojik said: Umri huo bado upo chit-chat? Aiseee? Click to expand... Age ain't no nothing but a number mate!
R Ralph Tyler JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 2,828 Reaction score 3,579 Jun 1, 2018 Thread starter #7 SHAMMA said: Heading yako ni tatizo, Ungeanza na jina la shule. Hata hivyo kuna uzi wa shule tajwa Click to expand... Jina la shule watakuja hadi wa mwaka jana. Hayo ni majina ya waliokuwa wakuu wa shule, yeyote aliyekutana nao akiona jina hilo lazima akumbuke. Labda kweli nimebaki mwenyewe anga hizi! Naomba link ya huo uzi nami nikaperuzi.
SHAMMA said: Heading yako ni tatizo, Ungeanza na jina la shule. Hata hivyo kuna uzi wa shule tajwa Click to expand... Jina la shule watakuja hadi wa mwaka jana. Hayo ni majina ya waliokuwa wakuu wa shule, yeyote aliyekutana nao akiona jina hilo lazima akumbuke. Labda kweli nimebaki mwenyewe anga hizi! Naomba link ya huo uzi nami nikaperuzi.