Tuliolala wenyewe licha ya hili baridi njooni tupeane moyo

Tuliolala wenyewe licha ya hili baridi njooni tupeane moyo

Mngurimi

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2020
Posts
819
Reaction score
790
Mwenzenu nipo ukanda fulani hivi hapa Tanzania yaani baridi sio baridi, shuka kama ndiyo limetoka kufuliwa. Sms notification hakuna hata ya kusema "baby umelala"?

Nimeamua nije tupige soga humu na single wenzangu...
 
Hili baridi linafaa sana kwa kilimo ngoja tulio dabo tulime[emoji2210][emoji2210][emoji2210]
 
Back
Top Bottom