Tuliomba mkopo wanaopewa watumishi wa Umma, tumeanza kukatwa kabla ya kupewa mkopo wenyewe

Tuliomba mkopo wanaopewa watumishi wa Umma, tumeanza kukatwa kabla ya kupewa mkopo wenyewe

yolam sanga

Member
Joined
Jul 29, 2014
Posts
8
Reaction score
4
Jamani nina suala naomba ufafanuzi kwa wenye uelewa, hapa nilipo kuna tangazo lilitolewa halmashauri juu ya mikopo kwa watumishi wa umma toka mwezi wa pili mwaka huu,

Tukaomba ila chaajabu tukaanza kukatwa kwanza bila kupewa hela na tukiwauliza utumishi wanadai jamaa wa hadhina wanazingua mala hawawajibu chochote mara makato hutangulia pesa hufuata nyuma,,je ni kweli suala hilo?
 
Jamani nina suala naomba ufafanuzi kwa wenye uelewa,hapa nilipo kuna tangazo lilitolewa halmashauri juu ya mikopo kwa watumishi wa umma toka mwezi wa pili mwaka huu,tukaomba ila chaajabu tukaanza kukatwa kwanza bila kupewa hela na tukiwauliza utumishi wanadai jamaa wa hadhina wanazingua mala hawawajibu chochote mara makato hutangulia pesa hufuata nyuma,,je ni kweli suala hilo?
Riba yake ikoje mkuu?
 
Tatzo wanakupa kiasi kidogo sana aise hela zinazotolewa ni chache kuliko mahitaji
Duh nilidhani Ni pesa nyingi zinatolewa mkuu.kwa mfano max amount ya kukopa inaweza ikawa Ni sh. Ngapi mkuu?
 
Jamani nina suala naomba ufafanuzi kwa wenye uelewa, hapa nilipo kuna tangazo lilitolewa halmashauri juu ya mikopo kwa watumishi wa umma toka mwezi wa pili mwaka huu,

Tukaomba ila chaajabu tukaanza kukatwa kwanza bila kupewa hela na tukiwauliza utumishi wanadai jamaa wa hadhina wanazingua mala hawawajibu chochote mara makato hutangulia pesa hufuata nyuma,,je ni kweli suala hilo?
Mkopo upo njiani mkuu we weka malengo usijekunywea gambe
 
Back
Top Bottom