yolam sanga
Member
- Jul 29, 2014
- 8
- 4
Riba yake ikoje mkuu?Jamani nina suala naomba ufafanuzi kwa wenye uelewa,hapa nilipo kuna tangazo lilitolewa halmashauri juu ya mikopo kwa watumishi wa umma toka mwezi wa pili mwaka huu,tukaomba ila chaajabu tukaanza kukatwa kwanza bila kupewa hela na tukiwauliza utumishi wanadai jamaa wa hadhina wanazingua mala hawawajibu chochote mara makato hutangulia pesa hufuata nyuma,,je ni kweli suala hilo?
4%Riba yake ikoje mkuu?
Duh Kama kweli watawapa kwa rates hizo mtakua mmejikomboa Sana.All the best.
Tatzo wanakupa kiasi kidogo sana aise hela zinazotolewa ni chache kuliko mahitajiDuh Kama kweli watawapa kwa rates hizo mtakua mmejikomboa Sana.All the best.
Duh nilidhani Ni pesa nyingi zinatolewa mkuu.kwa mfano max amount ya kukopa inaweza ikawa Ni sh. Ngapi mkuu?Tatzo wanakupa kiasi kidogo sana aise hela zinazotolewa ni chache kuliko mahitaji
Mkopo upo njiani mkuu we weka malengo usijekunywea gambeJamani nina suala naomba ufafanuzi kwa wenye uelewa, hapa nilipo kuna tangazo lilitolewa halmashauri juu ya mikopo kwa watumishi wa umma toka mwezi wa pili mwaka huu,
Tukaomba ila chaajabu tukaanza kukatwa kwanza bila kupewa hela na tukiwauliza utumishi wanadai jamaa wa hadhina wanazingua mala hawawajibu chochote mara makato hutangulia pesa hufuata nyuma,,je ni kweli suala hilo?