Billionaire101
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,471
- 4,971
Picha ya chini ipo wapi? Me mbona sizioni au mods wamezitoa.Hiyo picha ya chini mkulu anatia huruma!
Tutamuombea sisi!Mi binafsi siwezi kumuombea mtu ambae hataki kuweka ukweli wa Mambo juu ya kuwepo kwa huu ugonjwa nchini kwetu huko Ni kuhujumu muda.
Yaani nimeiangalia hadi nimejiskia huruma na uchungu maana anajiona kama anapoteza watu wake wa karibu na watanzania. Mungu atampa hekima katika hiliHiyo picha ya chini mkulu anatia huruma!
Usitumie wingi tafadhali sema 'utamuombea wewe' nakutakia maombezi memaTutamuombea sisi!
Tupo wengi sana tutakaomuombea! Usijali, najua nilicho andika! Naamu hata sasa tutaendelea kumuombea rais wetu mpendwa Mh Dr JPM na serikali zetu zote! Mungu azidi ibariki Tanzania! Amen!Usitumie wingi tafadhali sema 'utamuombea wewe' nakutakia maombezi mema
Na alipo wasababishia vifo wale wafanyakazi alio watumbua kwa kuwaonea, uso na sura yake pia ilitia huruma hivyo hivyo?Hiyo picha ya chini mkulu anatia huruma!