Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Tuulizeni sie tulio kwenye ndoa mwaka wa kumi (10) tumeona mengi :lol::lol::eyebrows:Wewe may be tukuulize
Umeona vishawishi gani kwenye ndoa yako
Na nini ushauri wako kwa sisi ambao ndo wageni kwenye ndoa
Kila jambo nafikiri ni kumtanguliza Mungu mbele ya kila jambo unalolifanya
Muombe Mungu akujalie hekima na busara na kupe hofu ya kutambua uwepo wake
Usikate tamaa maana mapambano yapo sana
Tuulizeni sie tulio kwenye ndoa mwaka wa kumi (10) tumeona mengi :lol::lol::eyebrows:
Mwakani huyooo nagonga mwaka wa 11 kwenye ndoa nitafute uone jinsi sarakasi za ndoa zilivyo😛hoto:Duh imebidi nipate :shock: baada ya kusoma hapa
Duh hii ni balaa kabisa
Tuulizeni sie tulio kwenye ndoa mwaka wa kumi (10) tumeona mengi :lol::lol::eyebrows:
Mwakani huyooo nagonga mwaka wa 11 kwenye ndoa nitafute uone jinsi sarakasi za ndoa zilivyo😛hoto:
Mwakani huyooo nagonga mwaka wa 11 kwenye ndoa nitafute uone jinsi sarakasi za ndoa zilivyo😛hoto:
Ukitaka ujue namna ya kupigwa vibuti Mtafute TF
Ukitaka namna ya kuachwa kwenye mataaa mtafute TF
Ukitaka kujua namna ya kudanganywa mtafute TF
Ukitaka namna ya kuvunja ndoa yako mtafute TF:lol:
Hehehe! Ukitaka kujua jinsi ya kucheat,mtafute TF
Ukitaka kujua mtiti wa kubambwa ukicheat, mtafute TF
Ukitaka kujua jinsi ya kulinda ndoa yako, umtafute Bishanga
Ukitaka kujua jinsi ya kuenjoy ndoa yako, umtafute Bishanga
Lol
Umeona sie tuliokaa kwenye ndoa miaka mingi wala hautuoni tukipurukusha aisee vijana tutafuteni tuwape ushauri jinsi ya kukaa na wenza wenu of coursse ushauri unatolewa burewaambie bana....watu tuna ndoa zetu mwaka wa kumi na saba huu....ndo kwanza kama tukio ni la jana....
Umeona sie tuliokaa kwenye ndoa miaka mingi wala hautuoni tukipurukusha aisee vijana tutafuteni tuwape ushauri jinsi ya kukaa na wenza wenu of coursse ushauri unatolewa bure
Ukitaka ujue namna ya kupigwa vibuti Mtafute TF
Ukitaka namna ya kuachwa kwenye mataaa mtafute TF
Ukitaka kujua namna ya kudanganywa mtafute TF
Ukitaka namna ya kuvunja ndoa yako mtafute TF:lol:
Dah!!!! Mnaniharibia CV yangu banaa.....unajua tunaoheshimu ndoa zetu tuko wachache sanaHehehe! Ukitaka kujua jinsi ya kucheat,mtafute TF
Ukitaka kujua mtiti wa kubambwa ukicheat, mtafute TF
Ukitaka kujua jinsi ya kulinda ndoa yako, umtafute Bishanga
Ukitaka kujua jinsi ya kuenjoy ndoa yako, umtafute Bishanga
Lol
Unaona ehee unaharibu sasa mimi nakwambia njooni muulize sweetlady na wengineo walipata ushauri mzuri tu:lol::eyebrows:Ukitaka uone rangi zote za nyota mpeleke mke wako kwa TF kwa ajili ya ushauri :lol:
Dah!!!! Mnaniharibia CV yangu banaa.....unajua tunaoheshimu ndoa zetu tuko wachache sana