Tuliooa

Unaona ehee unaharibu sasa mimi nakwambia njooni muulize sweetlady na wengineo walipata ushauri mzuri tu:lol::eyebrows:

SL na mwingine yule sijui nani vile na yule wa pale mtaa wa pili na yule uliyemdanyanya utamuoa na yule uliyelipa mahari kabisa halafu hukurudi na yule aliyekupeleka kwa wazazi na hukuonekana tena duh list ndefu sana
 

kuishi na mtu uliyekutana nae ukubwani kwa maisha yako yote yaliyobakia,kulala nae kitanda kimoja na kila kitu mpo wote au kufanya mpaka yeye ajue kweli inahitaji moyo sana na uvumilivu wa hali ya juu.....so waliooana wavumiliane,mfichiane madhaifu na kukubali madhaifu ya mwenzio,uwajibikaji,kutokuwa selfish na kumtanguliza Mungu mbele mbona maisha marahisi tuu na wala ndoa havitavunjika kamweeee.
 
Unaona ehee unaharibu sasa mimi nakwambia njooni muulize sweetlady na wengineo walipata ushauri mzuri tu:lol::eyebrows:
Waambie hao. Mwenzao nipo kwenye ndoa mwaka wa 7 huu, hawajui ni kwaajili ya kufuata maushauri yako.

Mr. Rocky na King'asti tafadhalini sana ndoa zenu zikiyumba au kupata mushikeli kidogo muoneni TF, mie pia msisite kuniona manake nshakuwa msaidizi wake.
 
Nasubiri ushauri wako maana una uzoefu TF
Good sasa wewe nitafute tu i'm available anytime utaniambia shida yako hasa ni eneo lipi la ndoa then we can take it from there au kama ndio unaingia we will discuss what you should expect...i guess we're good
 

IMAGINE :hatari:
Dah!! Prishaz hebu muone hapo SL juu alivyotoa ushahidiπŸ˜›oa
 

Wajanja wawili wakikutana sijui hapo kinatokea nini
Utapata mbinu mbadala z akuvunja nyumba yako aise
 
Wajanja wawili wakikutana sijui hapo kinatokea nini
Utapata mbinu mbadala z akuvunja nyumba yako aise
Lol, ukishindwa kuyaamini maneno yangu shauri zako. Narudia tena kwa msisitizo ukitaka ndoa yako idumu kama chama cha mapinduzi mwone TF au mimi kwa maelezo zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…