Tukaze nini sasa?Habari wana JF
Mimi ni kijana mwenzenu
Kwa wale ndugu zangu vijana wenzangu tuliooa miaka ya karibuni kama mimi nawaomba tuwe wavumilivu tukaze tu hivyo hivyo ili hizi ndoa zidumu maana mitihani mingi sana na huko duniani nje yaani ni balaa kila vishawishi.
Nina mwaka mmoja kwenye hiki chama lakini naomba niwavulie kofia ndugu zangu mlio kaa humu ndani miaka 5 na kuendelea.
Tukaze washikaji tusije tukaishia njiani
Heee...mi na my wife wangu hatukwaruzani kabisa!!! by then, sweetlady kanibook pia..but as long as nyie wote ni kitu kimoja, nitawaconsult wote kwa pamoja!!Rejao nitafute ukiwa na mkwaruzano na wife:eyebrows:
Mhhh!!! Hii sasa naona haijakaa kikazi zaidiHeee...mi na my wife wangu hatukwaruzani kabisa!!! by then, sweetlady kanibook pia..but as long as nyie wote ni kitu kimoja, nitawaconsult wote kwa pamoja!!
Mhhh!!! Hii sasa naona haijakaa kikazi zaidi
Mama D unaharibu bana...mi wengi hapa ni mashem tu, siendi mbali zaidi ya ushem!!Naona Rejao nae ni mharibifu wa ndoa......
au mitaala!!???
Asante sana kwa haya
Ukitaka namna ya kuonekana mbabe ndani ya nyumba kama kidume mtafute Asprin
Ukitaka njia nzuri za kutoka nje ya ndoa muone The Boss
Tukaze nini sasa?
- Wake zetu?
- Msuli kutokana na vishawishi?
- Majibu yote ni sahihi.