Mr IQ
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 1,024
- 1,377
Habari za saivi mabibi, mabwana, vijana, mabinti, wazee n.k
Binafsi nilikuwa naplan ya kuoa mwaka huu lakini nimefeli na kwasasa sina mchumba wala msichana yeyote yaani nipo Single. Wasichana wote wamekimbia yani tumeachana.
Kuna mtu aliniambia ukitaka kuoa wasichana wanakua adimu sanaa na ukikosea unaingia cha kikie. Je, ni sababu zipi zilizokufelisha mpango wako?
Karibu maoni yako na mawazo yako ili tufike lengo!