Tuliopanga kuoa mwaka huu na tumefeli tukutane hapa

Mr IQ

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
1,024
Reaction score
1,377
Habari za saivi mabibi, mabwana, vijana, mabinti, wazee n.k

Binafsi nilikuwa naplan ya kuoa mwaka huu lakini nimefeli na kwasasa sina mchumba wala msichana yeyote yaani nipo Single. Wasichana wote wamekimbia yani tumeachana.

Kuna mtu aliniambia ukitaka kuoa wasichana wanakua adimu sanaa na ukikosea unaingia cha kikie. Je, ni sababu zipi zilizokufelisha mpango wako?

Karibu maoni yako na mawazo yako ili tufike lengo!
 
Habari za saivi mabibi, mabwana, vijana, mabinti, wazee n.k binafsi nilikuwa naplan ya kuoa mwaka huu lakini nimefeli na kwasasa sina mchumba wala msichana yeyote yaani nipo Single. Wasichana wote wamekimbia yan Tumeachana nao.

Kuna mtu aliniambia ukitaka kuoa wasichana wanakua adimu sanaa na ukikosea unaingia chakikie. Je, nisababu zipi zilizo kufelisha mpango wako karibu maoni Yako na mawazo yako ili tufike lengo!
 
Kwani tulikubaliana nini kwenye kile kikao..??
 
Kama umekosa WA kuowa jiowe Tu boss inatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…