Cha msingi wewe kuwa mvumilivu, observe time, shiriki na wenzio katika kila ratiba inayopangwa na wakubwa zako...
Mengineyo utayakuta huko huko....
Ruvu jkt siyo porini , kazi kama kawaida kulima bustani, kupalilia maembe, kuhudumia kuku .
Nenda kijana Ruvu ni moja kati ya kambi bora kabisa za jkt.
vp maafande wa pale? hawapigi sanaaaa?????
kijana jkt ya RUVU kwa sasa hakuna suluba kama tulizopata sisi miaka ile ya 1980's. Yale mashamba ya MPUNGA Nayakumbuka sana. tulikuwa tunalima na kuvuna wenyewe bila ya trekta. acha kijana kulikuwa na Ruba wengi sana pale. na usiku tukiwa na vibukta vyetu tunaimba nyimbo ni MBU kwa kwenda mbele. Nakumbuka siku niliyopewa jembe BUTU nikaammiwa nilime kuanzia HAPA MPAKA HUKO?. NIKAULIZA HUKO NI WAPI?. NIKAAMBIWA MPAKA HUKOO!!!. HIVI SASA NI RAHA TUPU RUVU MASHAMBA YASHAUZWA NA SERIKALI YA CCM. TULIKUWA TUNAZALISHA MCHELE MDUNDIKO MUULIZE MZEE WA ZAMANI ATAKUFAHAMISHA MCHELE HUO
Kambi ya walemavu na wenye matatizo ya kiafya. wote hawa wanapaswa kuripoti Ruvu JKT. na wewe una matatizo ya kiafya nini?
Kambi ya walemavu na wenye matatizo ya kiafya. wote hawa wanapaswa kuripoti Ruvu JKT. na wewe una matatizo ya kiafya nini?