Tuliopigwa block WhatsApp na kuwekwa blacklist ujuane

Last Seen

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
229
Reaction score
566
Niaje Wajuba?

Heri ya siku wa Kina Baba duniani japokuwa ilikuwa juzi kati. Kila mwanaume mpambanaji wa yale mambo yetu lazima hizi hukumu zinamuhusu Sana BLOCK na BLACKLIST, tunapata hizo hukumu kwa sababu mbali mbali.

Wajuba no issue gani ilikufanya ukapigwa Pin?[emoji41][emoji41]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna wale ambao
Hatujibiwi sms
Hatupokelewi simu
Mbaya zaid ukute demu anayekuzingua ni wa kawaida sana ili hali wife au main chick ni mzuri balaa.
Haya maisha ya uzinzi ntayaacha kabisa yanakutia stress za kijinga
 
Mi nilimwambia ex wangu anavyonifatilia fatilia nimepata taarifa yeye ni mchawi anataka kunichukua nyayo aniroge.Kila sehemu nimekula tofali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…