Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 1,912
- 2,254
Habarini wana jamvi, hivi karibuni kama mwezi hivi uliibuka mtandao wa kuwekeza hela then unalipwa 20% ya fedha ulowekeza kila siku.
Kama kawaida wa tz hatusikii watu wakajiunga. Mimi fursa ikanifikia kama wiki 3 zilizopits nikiwa najua kabisa mda wowwote naweza kupigwa. Basi nikatupia laki2 kesho yake wananiambia hela haitoshi ongeza nikashtuka kesho yake wakaongeza ingine kuwa siwezi kutoa faida baada ya siku 2wakasema wamefunga ofisi tanzania kutokana na kushindwa kucomply na taratibu na sheria za nchi. Ila hela zetu zimehamishiwa BIS wakaeka na link ya kudownload nikasma isiwe shida nikaishusha. Nikainstall ikadai configuration ni enable baadhi ya accessibility mojawapo ni keyboard, contacts, na privacy zingine nlivoona keyboard tu nikastuka nikasita kuendelea maana kuna kitu inaitwa keyloger ni ushenzi nikaachana nayo nikasema nikiinstall hii watapiga kwenye account zangu zote maana unapoweka password li app lao linasoma keyboard ukimaliza ru na wao wanaingia wanakomba kila kitu