Extra miles JF-Expert Member Joined Apr 18, 2018 Posts 3,652 Reaction score 4,972 Aug 15, 2024 #21 Half american said: Teknolojia ni nzuri ila ubaya wake ni hapa, kwenye hilo watalizwa wengi sana. Click to expand... Bongo bado watu wengi hawafahamu hizi vitu. Hata kwenye keygens wana tabia ya kuplant keyloggers na spywares.
Half american said: Teknolojia ni nzuri ila ubaya wake ni hapa, kwenye hilo watalizwa wengi sana. Click to expand... Bongo bado watu wengi hawafahamu hizi vitu. Hata kwenye keygens wana tabia ya kuplant keyloggers na spywares.