More Chances
Senior Member
- Jun 24, 2022
- 151
- 344
Tuliopita Mlale jkt 2015 tukumbushane ya kipindi kile.
Mimi namkumbuka sana Afande Lyimo afande mmoja mashuhuri sana.
Afande Mbise , Afande Mkulima na wengine kibao
Machenja ya usiku na baridi la songea huku mnapigwa nua.
🤣🤣🤣 Nani alozingua akapigwa Doso la vasco dagama ?
Namkumbuka sana Afande mashauri wa Combania yetu A coy jamaa alikuwa anatutetea sana tusisulubishwe na Service Man.