More Chances
Senior Member
- Jun 24, 2022
- 151
- 344
Jeshi nyoka hamna wanaogopa dosoUlishakutana na nyoka Mara ngapi?
Uliwaua?
Mtaanza kutajana majina.Maana leo mpo disco la JF!Tuliopita Mlale jkt 2015 tukumbushane ya kipindi kile.
Mimi namkumbuka sana Afande Lyimo afande mmoja mashuhuri sana.
Afande Mbise , Afande Mkulima na wengine kibao
Machenja ya usiku na baridi la songea huku mnapigwa nua.
🤣🤣🤣 Nani alozingua akapigwa Doso la vasco dagama ?
Namkumbuka sana Afande mashauri wa Combania yetu A coy jamaa alikuwa anatutetea sana tusisulubishwe na Service Man.