Ameshaoa na ameokoka mchepuko sio dili kwake
Mi haunitafuti?
Mi mwenyewe leo nitalala vizuri.! Ila usije ukasema umeshaolewa aithee maana nilisema sioi mpaka nikutane na ww tenaNdio baba B nimekutafuta sanaaa Asante Mungu leo nimekupata
Poa..Mpaka umpate utakuwa na mimba tayariwewe mpendwa ninakutafuta sana na kuhuhitaji uniliwaze kipindi hiki kigumu nachomtafuta mpenzi wangu wa zamani nikimpata tu mkataba wetu unaishia hapoo
Mi mwenyewe leo nitalala vizuri.! Ila usije ukasema umeshaolewa aithee maana nilisema sioi mpaka nikutane na ww tena
Hahahahaha aiseeePoa..Mpaka umpate utakuwa na mimba tayari
Poa..Mpaka umpate utakuwa na mimba tayari
Ok nitampa kiss takatifuAsante kwa taarifa mke mwenza... kiss him for me
Tatizo la ma-ex huwa hawaachani.Ha ha haa yote kheri na Ndio amtunze huko alipo asiponyoke hofu yangu ni uhai wake kama yupo au alishazikwa
Tatizo la ma-ex huwa hawaachani.
Ha ha haaaa utampata humu humu. Kila la kheri.Mie namtafuta jamani nitafutie huko mkimwonaa.. nimemsamehe yote arejee tu
Hapo sawa Mama B na kwa kuwa leo #TBT# imekuwa vyema tumekutana tena., Wikiendi tutafutane tupashe kiporommmmmmh! kwani tutakua tunafahamiana bila protector?
Is it you kweli ama.? Muda sanaMie namtafuta GOODLUCK EMMANUEL baby wako wa mwaka juzi. nimekumiss my EX mbaya zaidi namba yako ya zamani haipatikani tafadhali mupenzi nitafute tukumbushie enzi my dear nimekumiss.
Yours Baby G
Peleka tangazo Redio Tanzania Dar es salaamHabari zenu,
Natafuta Marafiki wa Kalamu.
Peleka tangazo Redio Tanzania Dar es salaam