bantu.garage
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 1,436
- 503
Vijana wakupe shkamoo.Waliosoma Mawenzi Secondary Moshi Form Four 1970 tusalimiane huku.Classmate wetu si mnajuwa ni Four Star General na yule HP 1969 si alikuwa DG wa SIDO
Mmh haya bana, Ina mana bado hujampata WA kumuoa?Namtafuta Neema Komba alisoma Shule ya msingi makumbusho alimaliza 1999,tulienda umitashumta Tanga 1999,Secondary alisoma Makongo,Mm nilisoma Jitegemee miaka ya 2000 hadi 2004 lakini tulipotezana mwaka2002.nimekufuta sana Neema ukiona post hii au yeyote anisaidie(0716 109107)Elias
Ha ha haa watu mmeshaharibu huu uzi
Huyu si kishatangulia mbele za haki mkuu?.Vijana wakupe shkamoo.
Mimi namtafuta Sarah Dumba...
Namtafuta januar makamba mara ya mwisho kuonana naye ni mwezi wa tatu mwanzoni
Namtafta everhurt amenitoroka chumbani muda si mrefu
Weka offer mezani nikuunganishe nae!Mimi namtafuta LYDIA NTAPARA mara ya mwisho alikuwa mwalimu mikese morogoro. Nakutafuta we bidada
Tumrudishe Monduli akapigwe msasaaah! Alhamisi mbali mnooo.....mimi nashangaa anavozalilisha fani ya ujeda kweli, majeda huwa hawachelweshi mambo namna hii, bora angebakiaga tu kwenye ukopro.
Rafiki nipo hapa!Habari zenu,
Natafuta Marafiki wa Kalamu.
Mkuu uko serious? au umepitiwa?Vijana wakupe shkamoo.
Mimi namtafuta Sarah Dumba...
Umenikumbusha mbaliHabari zenu,
Natafuta Marafiki wa Kalamu.
Kwasasa ni Marehemu/Hayati.Vijana wakupe shkamoo.
Mimi namtafuta Sarah Dumba...