Tuliosoma shule ya msingi Mavovo tujuane

Tuliosoma shule ya msingi Mavovo tujuane

mtungu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2021
Posts
270
Reaction score
435
Hasa wale wa kuanzia 2000 hada 2006 na 7 Hadi na 10 walimu wa kwanzakwanza wengine washatutoka wengine nahisi wapo hai
Mwalimu shabani mwalimu mkuu
Mwalimu sembe
Mwalimu idrisa huyu Kama ni sasaivi tungesema bwabwa au chakula alikua ana chembe chembe zote za ushoga
Mwalimu ngoda alikua mtoto Sana na lile umbo lake wanafunzi walimzidi adi umri
Mwalimu asma alikua chombo Sana
Kuna wakike jina limenitoka
Ndo wakaja kina
Keto
Irini
Ntiga
Wengine majina yamenitoka
 
Stress Ni ishu
 
Nilifika mavovo kwa ununuzi wa korosho ghafi
Kweli kabisa korosho ilitukuza Sana tulikua tunapata pesa kupitia korosho japo kilo ilikua 300 ikipanda mpaka mwisho jero
 
Tena kwa adabu aseme shikamoo wazazi wangu. Huyu ni first born wangu if not second
Kama umesoma mavovo siwezi kua mwanao Mana naanza shule 2000 mavovo ilikua haijatoa lasaba bado labda Kama uliso bwiti Mana sasaivi Nina miaka 30
 
Back
Top Bottom