Stress Ni ishuHasa wale wa kuanzia 2000 hada 2006 na 7 Hadi na 10 walimu wa kwanzakwanza wengine washatutoka wengine nahisi wapo hai
Mwalimu shabani mwalimu mkuu
Mwalimu sembe
Mwalimu idrisa huyu Kama ni sasaivi tungesema bwabwa au chakula alikua ana chembe chembe zote za ushoga
Mwalimu ngoda alikua mtoto Sana na lile umbo lake wanafunzi walimzidi adi umri
Mwalimu asma alikua chombo Sana
Kuna wakike jina limenitoka
Ndo wakaja kina
Keto
Irini
Ntiga
Wengine majina yamenitoka
Maramba, Mkinga mkoa wa TangaMavovo iko kijiji gani?
Tena kwa adabu aseme shikamoo wazazi wangu. Huyu ni first born wangu if not secondTusalimie kwanza
Hapana mkuuMkuu umesoma mavovo
Iko huko ukingani ndani ndani. Nawakumbuka Hawa mademu classmates sijui wako wapi Sasa hivi, Mwanaidi Wolfgang, Mwamvua Schmidt, Tatu Brooks, Sihoja Waters, Sikujua Maguire na Namsifu CummingsMavovo iko kijiji gani?