Tuliosoma shule ya msingi Mavovo tujuane

Una tabia mbovu kuwasema walimu wako kwa maneno yasiyo na uhakika.
Mbona leo watu mwenye tabia mbovu anasemwa tu Kama unamjua huwezi pinga au kumsingizia alikua anaviashilia vyote
 
Hatumii busara kabisa.Tuhasira twa kuchapwa vifimbo viwili-vitatu huko shuleni kwao anahamishia JF!Awe makini na anaowatafuta.Watamrudi,wamfunde na kumuaibisha.
Mkuu sio busara ni ukweli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…