Enzi za Marehemu Mpogole "DUDU"
M
Madella Annex
Mabweni Ya Azimio na Mwenge
Madarasa ya Form V PCB na PCM
Madarasa ya Form 6 EGM na CBG
Uwanja wa Basketi picha hii imepigwa kwa juu kule Mandella Annex
tupo mwana...nawakumbuka sana contra,sanga ASK aka 'so please!!!!' mkulu Mbanga na mkwara kuzuia kutumia mawe kuchambia kule HALF MILE,mheshimiwa Msalilwa wa malezi,sista mdalingwa na ugulumu teh teh....idete kwa MAPERA,kwa masista kupata MABANZI,lyalamo kuangalia vibinti......duh thoz dayz,nazikumbuka sana nilikuwa o'level '93-'96wale wa tosamaganga mpo, mambo ya idete, msiwasi na zoo
tupo mwana...nawakumbuka sana contra,sanga ASK aka 'so please!!!!' mkulu Mbanga na mkwara kuzuia kutumia mawe kuchambia kule HALF MILE,mheshimiwa Msalilwa wa malezi,sista mdalingwa na ugulumu teh teh....idete kwa MAPERA,kwa masista kupata MABANZI,lyalamo kuangalia vibinti......duh thoz dayz,nazikumbuka sana nilikuwa o'level '93-'96
ni kweli tuliita ATOM, watu walikuwa wanagundua kuwa umetembelea idete wakiona unatumia muda mrefu kutoka HALF MILE...Enzi zetu hakukuwa na kitu kinaitwa "MAPERA"ziliitwa ATOM na ilikuwa ni kosa la jinai kuleta Atom bwenini unazichuma na kuzilia hukohuko Idete.
Jamaa yangu mmoja siku hizi ni Kanali wa jeshi tulikuwa tukienda pale Msiwasi kuiba Miwa Usiku wa manane.
Tuliwahi kuchimba Karanga zote za Shamba la Mwalimu MSangi wa Chemistry O Level Usiku kwa usiku tukiwa na jopo zima la Alikiona au Songea Boys.
Mwizi wa kuku za Marehemu Mpogole enzi zile, siku hizi ni Sajenti wa Polisi anayeogopwa sana na vibaka Du!
Du, Mchungaji kumbe umepita hapa, ulimnofu!!