Tuliosoma shule za International tukutane hapa

Tuliosoma shule za International tukutane hapa

Wewe unafanya kazi gani kwani? mbona husemi kazi yako, au uko BOT?
 
me nilisoma kayumba ngoja nipite tu🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️
 
International schools mnafundishwa mambo ya ajabu sana kama hili suala.

International schools mnafundishwa mambo ya ajabu sana kama hili suala.

Kwahiyo wewe unafikiri tuliosoma kule hatupgegedi??.. Hata Rihanna anajamba sembuse sisi
 
Back
Top Bottom