kabisa maana huu uzi hautuhusutuliosoma shule za kayumba tunakae pembeni.
Tuelezane kazi tunazofanya kwa sasa.
Tunywe Pepsi Big tuwaangalie wale International school students wanavyotiririka.Tuliosoma shule za Kayumba tunakae pembeni.
Ungeanza wewe,mimi ni majani nilisoma IST kwa sasa ni music producer mkubwa hapa nchiniTuelezane kazi tunazofanya kwa sasa.
TutulieTuliosoma shule za Kayumba tunakae pembeni.
Kwahiyo wewe unafikiri tuliosoma kule hatupgegedi??.. Hata Rihanna anajamba sembuse sisiInternational schools mnafundishwa mambo ya ajabu sana kama hili suala.
Wanawake msiache kujamba kunako 6x6
Hakuna kitu inanipa mzuka na hii najua ni kwa wanaume wote. Yaani ile napiga mbuzi kagoma kutembea halafu sauti mbu mbu mbruuu nikiisikia huwa napata mzuka usio wa kawaida na mchumba wangu nilishamwambia asijibane ajambe sana kwani ndio starehe yangu. Hivyo wanawake wote nawaasa mnapokuwa na...www.jamiiforums.com
Shule za international unamanisha nini mulaTuelezane kazi tunazofanya kwa sasa.