Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,112
- 4,361
Wasalam:
Mm nakumbuk mwaka 2012 kimara stop over nilipokuwa naishi, sasa nakumbuka ilikuwa weekend moja hivi nikatoka kuzurula zangu, sasa kwenye mida ya saa moj hivi nikarud zangu home.
Nilipofika nilitaman kujipikia nyama, nikainua miguu yangu hadi kweny butcher, ujue mwanaume unaponunua kitu huwa hatunag desturi ya kuchunguza sana km walivyo wanawake. Basi jmaa nikamuamini nikamwambia nataka nyama nusu, yule jamaa kwanza kanifungia mifuko mitatu utazani kaweka petrol baaada ya kukosa kidumu cha kubebea, nikasepa zangu home, aiseee ile nafungua mifuko sijui jamaa aliweka nyama ya aina gani mle, nilichokifanya nikarud buchani hata sikusema nae nikampa mfuko wake mm nikaenda zangu kununua chips.