Tuliosusia vitu na kuvirudisha uliponunua tukutane hapa

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,112
Reaction score
4,361
Wasalam:
Mm nakumbuk mwaka 2012 kimara stop over nilipokuwa naishi, sasa nakumbuka ilikuwa weekend moja hivi nikatoka kuzurula zangu, sasa kwenye mida ya saa moj hivi nikarud zangu home.
Nilipofika nilitaman kujipikia nyama, nikainua miguu yangu hadi kweny butcher, ujue mwanaume unaponunua kitu huwa hatunag desturi ya kuchunguza sana km walivyo wanawake. Basi jmaa nikamuamini nikamwambia nataka nyama nusu, yule jamaa kwanza kanifungia mifuko mitatu utazani kaweka petrol baaada ya kukosa kidumu cha kubebea, nikasepa zangu home, aiseee ile nafungua mifuko sijui jamaa aliweka nyama ya aina gani mle, nilichokifanya nikarud buchani hata sikusema nae nikampa mfuko wake mm nikaenda zangu kununua chips.
 
Pole mkuu, kama ulivyosema wanawake tupo makini sana
 
Duhh......
Minilimsusa shemeji/wifi yenu, alafu nikamrudia tena.....[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
KUNA MJINGA MMOJA KARIAKOO MTAA WA NARUNGOMBE NA MSIMBAZI.... DUKA LA KWANZA TOKA WANAPOUZA PAFYUMU NA MKABALA NA KITUO CHA MWENDO KASI......
ALINIUZIA NOKIA TOCHI FEKI, NIKAMRUDISHIA AIFAIDI....
 
Nikaenda zangu kununua chips******
 
Niliwahi uziwa kipolo kwenye bucha moja maeneo ya Tegeta
 
maisha ya ghetto Mimi kuna bucha nikienda hata kama kuna nyama jamaa ananiambia hamna koz nlishamrudishia nyama akaninunia kama demu,
 
eti watu wanashangaa chips utadhani ni ajabu akila,... Si alipenda yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…