BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Hongera mie nilifanya 2001 ,sikupata niakaacha nikaenda kufanya course nyingine CBE kisha nikafanya Degree nilikwisha maliza na MBA plus CPA yangu.kwa ujumla sipendi kukumbuka matokeo ya form 4,maana nilitegemea kupata div 1 ikaja div 4 mika resit credit zikagoma home ndio palikuwa moto kila nitakalofanya mie ni mjinga..waliokuwa wakinisema na kuninyanyasa sasa hivi nawasaidia wengine umri ulikwisha watupa mkono.ila ndio maisha.Vijana wasikate tamaa hata kidogo.
Mi nimetafuta credit kwa miaka mitano ukiachana na ule mwaka niliomaliza form four.
Mwaka wa kwanza ku resit nilipata credit moja
Mwaka wa pili nikakosa
mwaka wa tatu nikakosa
Mwaka nne nikapata moja
Na mwaka wa tano nikapata moja
Nilimaliza chuo mwaka 2010, hivi sasa nina fanya kazi katika moja ya ofisi za serikali huku nasoma evening class masters degree.
Kwa wadogo zangu msikate tamaa, mlango mmoja ukifungwa mingi sana inafunguka.
KWA WENGINE MLIOZISAKA CREDIT, TUPENI EXPERIENCE ZENU.
Mm nilimaliza 2014 Nina "B" Mengine ni E na F 2, nikalisiti mwaka 2015 lakini sikuwa serious nikakosa zote, 2016 nikarisiti tena nikapata Moja Kiswahili, 2017 sikuristi, 2018 nikuacha pia.. Sasa nataka mwakani nilisiti lakini masomo almost yote yaani Physics, Math, Geography, History, Civics, Literature,Biology, ili majibu yaje kwny Division, Sina pesa za kwenda kusoma center vitabu notes na App za android zenye notes kama Thl, Tumaini Library pia zina past papers nikomae mwnyw mwaka mmja nymbn na ninaposhndwa nawatafuta watu wa kunielekeza mfn physics na Math, Je, nitatoboa? Nitawez pata marks C kwny phyc na Math?Mi nimetafuta credit kwa miaka mitano ukiachana na ule mwaka niliomaliza form four.
Mwaka wa kwanza ku resit nilipata credit moja
Mwaka wa pili nikakosa
mwaka wa tatu nikakosa
Mwaka nne nikapata moja
Na mwaka wa tano nikapata moja
Nilimaliza chuo mwaka 2010, hivi sasa nina fanya kazi katika moja ya ofisi za serikali huku nasoma evening class masters degree.
Kwa wadogo zangu msikate tamaa, mlango mmoja ukifungwa mingi sana inafunguka.
KWA WENGINE MLIOZISAKA CREDIT, TUPENI EXPERIENCE ZENU.
it's possible mkuu sema tu uwe focused sana..pia uwe unapata muda wa kupumzika na kuwaza maisha yako itakusaidia kuongeza struggleMm nilimaliza 2014 Nina "B" Mengine ni E na F 2, nikalisiti mwaka 2015 lakini sikuwa serious nikakosa zote, 2016 nikarisiti tena nikapata Moja Kiswahili, 2017 sikuristi, 2018 nikuacha pia.. Sasa nataka mwakani nilisiti lakini masomo almost yote yaani Physics, Math, Geography, History, Civics, Literature,Biology, ili majibu yaje kwny Division, Sina pesa za kwenda kusoma center vitabu notes na App za android zenye notes kama Thl, Tumaini Library pia zina past papers nikomae mwnyw mwaka mmja nymbn na ninaposhndwa nawatafuta watu wa kunielekeza mfn physics na Math, Je, nitatoboa? Nitawez pata marks C kwny phyc na Math?