MBWAMBO NICHOLAUS JR
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 423
- 430
- Thread starter
-
- #101
Huamini na usiendelee kuamini kuona kama million tatu kama billion 100dah kama kilimo kwa mwezi milion tano nimebisha sio kweli mkuu ila endelea kutia moyo walemavu
Kila mmoja ana njia zake za kufanikiwaUsiumie njia uliyopita mkuu ya mungu mengi kila jambo na mpango wake
Kumbe unajua mkuu sasa usibishe kwamba five Milion per monthKila mmoja ana njia zake za kufanikiwa
Kilimo kina kanuni zake, mojawapo ni kujitoa sio unalima mvuti halafu unaishi Tabata barakuda kazi yako kupiga simu tu, hujui kama wamelima kweli ama lah. Jitoeee haswa mpaka wafanyakazi wako nao wapige kazi kama wewe.Kumbe unajua mkuu sasa usibishe kwamba five Milion per month
Sasa mimi nipo field haswa tena mkoani nimezaliwa huku nimekulia huku mkuuuKilimo kina kanuni zake, mojawapo ni kujitoa sio unalima mvuti halafu unaishi Tabata barakuda kazi yako kupiga simu tu, hujui kama wamelima kweli ama lah. Jitoeee haswa mpaka wafanyakazi wako nao wapige kazi kama wewe.
Vichwa panzi ni wengiNYUZI ZA AKILI KAMA HIZI UTAKUTA ZIMEJAZA PAGE 1 TU KWA WANA JAMII FORUM, SASA NGOJA ZIWEKWE ZILE NYUZI ZA KISIASA, MAPENZI NA USHABIKI KWA MTU ASIYEJUA ANASHABIKIWA NAO(GIGGY MONEY), NI NUSU SAA TU UTAKUTA PAGE ZAIDI YA 200 NA ZAIDI.
KWELI TZ TUNA UJINGA WA KIPEKEE SANA DUNIANI KOTE.
Chief inabidi utupe na principles zake ili watu wasione ajabu kupata zaidi ya Milion 3.Sasa mimi nipo field haswa tena mkoani nimezaliwa huku nimekulia huku mkuuu
Pole Mkuu.Hongera mkuu ni kumshukuru mungu kwa kila jambo. Mi mwenyw natamani nisingepita chuo ni kupoteza pesa tuu tunadaiwa mamilioni hatuna kaz.
1.Ulimaliza form six.
2.Kipindi hicho mikopo ilikuwa shida.
3. sahivi una miaka 24.
Haiitaji level kubwa ya intelligence kumsoma mtoa mada, ila kwa upande wangu acha niongeze siagi kwenye mkate.
1.Ulimaliza form six.
2.Kipindi hicho mikopo ilikuwa shida.
3. sahivi una miaka 24.
Haiitaji level kubwa ya intelligence kumsoma mtoa mada, ila kwa upande wangu acha niongeze siagi kwenye mkate.
nipakie na mm hyo.siagi
amesema.5 pia..Unaingiza milioni tatu kwa mwezi au mwaka?
Haha miaka (24+) sawa mkuu nimekubali ninauelewa mdogo asante kwa kunielewesha.Ni kweli uelewa wako ni mdogo. Hajasema ana miaka 24 ila kasema ana miaka 24+ akimaanisha 24 na zaid. Ngoja nkusaidie yan kamaanisha anaweza kua na 25, 26, 27, 28 nk. Muhimu ni kuangalia ujumbe unasema nn
Ina maana Team kiba100 hawamo!?*TUWAPIGIE KURA WASANII WETU MVP MUSIC AWARDS.* Hizi ni tuzo kubwa huko Nigeria. Turudishe heshima ya Tanzania.
Kwa kuwa wasanii wetu wengine wako wawili kwenye kipengele kimoja tupange tumpigie nani kura kila kipengele ili tusigawanye kura na tukashindwa kuchukua tuzo.
Vipengele:
*BEST MALE*
Hapa yupo Harmonize na Diamond. Tumpigie HARMONIZE kwa kuwa Diamond yupo kwenye vipengele vingine vingi.
*BEST FEMALE*
Tumpigie Maua Sama. Yupo peke yake toka Tz na East Africa
*BEST HIP HOP*
Hapa hakuna mbongo. Tumpe Khaligraph Jones mkali jirani yetu toka Kenya.
*BEST POP*
Tumpigie *Diamond Platnumz* yupo peke yake toka Tz na East Africa
*BEST COLLABORATION*
Hapa kuna JIBEBE na KATIKA. Tuipigie kura KATIKA YA NAVY KENZO kwa kuwa Diamond bado yupo kwenye vipengele vingine vingi. Isitoshe na kwenye KATIKA yumo
*DIGITAL ARTIST OF THE YEAR*
*Tumpigie Diamond Platnumz.* Hapa yupo peke yake kutoka Tanzania & East Africa
*BEST GROUP OF THE YEAR*
Tuwapigie Navy Kenzo
*SONG OF THE YEAR*
Hapa kuna *African Beauty ya Diamond*, na kuna *KWANGWARU* ya Harmonize na Diamond. Tuipigie *KWANGWARU* maana itapata kura nyingi zaidi toka nchi nyjngine za Africa kwa kuwa mpaka sasa ndo most viewed African music video kwa 2018. Na pia Diamond yumo
*BEST NEW ARTIST*
Tumpigie MBOSSO. Yupo peke yake kutoka Tz & East Africa
*LISTENERS' CHOICE*
Hapa ipo KATIKA ya Navy Kenzo na KWANGWARU ya Navy Kenzo. Tuipigie KATIKA ya Navy Kenzo maana KWANGWARU tushaipigia hapo juu
*AFRICAN PRODUCER OF THE YEAR*
Tumpigie NAHREEL yupo peke yake kutoka Tz & East Africa
*AFRICAN ARTIST OF THE YEAR*
Tumpigie *Diamond Platnumz* yupo peke yake kutoka Tz & East Africa
*JINSI YA KUPIGA KURA*
Click hii link
Soundcity MVP Awards Festival – Nominees are… Vote Now
Utakutana na vipengele vya tuzo zenyewe na majina ya wasanii husika (Nominees) gusa msanii unayempigia kura. Kura nu mara 1.
Tuache team zisizokuwa na maana. Tulete tuzo nyumbani.
*SAMBAZA KWA GROUPS ZAKO ZOTE*
Dah! mwanangu home huko pande hizoRuhembe,mkamba,nyange,kidatu,mang'ula,ifakara,malinyi,mahenge,mtimbila,mngeta?
Kama umesoma vizuri hiyoo haipo costant mkuuamesema.5 pia..