MBWAMBO NICHOLAUS JR
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 423
- 430
- Thread starter
-
- #121
Nafuu umeelewa mkuuNi kweli uelewa wako ni mdogo. Hajasema ana miaka 24 ila kasema ana miaka 24+ akimaanisha 24 na zaid. Ngoja nkusaidie yan kamaanisha anaweza kua na 25, 26, 27, 28 nk. Muhimu ni kuangalia ujumbe unasema nn
saizi naona uko chuo sasa maana naona mafanikio yako yakimaandishi sana hayana uhalisiaHabari za mda huuu....
Poleni na changamoto za maisha..
Hususani kipindi hiki...
Niende kwenye mada kwanza elimu yangu form six pekee mana chuo kipindi hicho sikuweza kuendelea japo nilifaulu nilikosa mkopo ilihali nilisoma government ila watu wa arts ndio shidaa.......
Aiiseee kufakinikiwa maisha sio mchezo mchezo kazi kubwa
Nilipokosa mkopo chuo baada ya kumaliza form six nilirudi kijijini kulima na kufanya mishemishe za hapa na pale my friend sio mchezo nilitaabika sana watu wa vijijini wanasema huyu na usomi wake yupo kijijini analima ila niliziba masikio aisee....
Mana kuishi na mama tuu wakati baba yupo kwingine mmetelekezwa sio mchezo kila nikikumbuka huwa naumia sana situation ya kipindi kile
Basi nilikua na nguo saba tuu kwenye begi maana suruali saba na mashati saba tuuu hapo.. viatu viwili tuuu. ..
Kipindi hicho masela wangu wapo dar full wiki end bata sana chumba sabufa kubwa.....
Mama yangu alikua ananitia moyo fanya kazi...
Nilikua
_Bahili
-Kupumzika jumapili tuuu
-niliacha matumizi yasiyo ya lazima kama club. pombe
-niliweka malengo
Sasa hivi namshukuru Mungu kwa mwezi naingiza million tano maximum mpaka saba na minimum mpaka tatu miaka yangu 24+
Na bado sijaoa ila japo sio milionea ila nimepiga hatua sana......
Njoo hapa share na wewe ulifanikiwa vipi
Sipo chuo mimi 80% ya maisha yangu shamba sana kuliko town mkuu nakomaa napambana target yangu kufika 30+ years ndio nihamie townsaizi naona uko chuo sasa maana naona mafanikio yako yakimaandishi sana hayana uhalisia
Shida watu hawaamini kuwa ukidhamiria kitu kinawezekana
Nimetoboa kupitia uhashi
Bibie mbona jamaa ameeleza vzuri kuwa baada ya kilimo anapiga na biashara ya mazao ukichanganya mapato yake ndio anapata kwa mwezi 5M means kilimo na bizness....Sa
samahani boss...unaweza nifafanulia hyo 5m kwenye mazao unalima nini na nini had uipate hyo 5m?
Bibie mbona jamaa ameeleza vzuri kuwa baada ya kilimo anapiga na biashara ya mazao ukichanganya mapato yake ndio anapata kwa mwezi 5M means kilimo na bizness....
Nimegundua kuwa wengi hamuamini hii kitu kwa sababu ni wazaliwa wa town au maana nyingine hamkupitia kazi za shamba..
Kama unataka kilimo then wewe unakaa Mbezi Shamba liko Kyela aisee huwezi kufanikiwa ila kama ukiamisha makazi yako ukapiga kambi shambani ni ndani ya miaka 5 upo mbali kimaisha.
Mwanzo ni mgumu ila ukikaza unaweza kuwa mbali "KATIKA AFRIKA" (Jiwe's voic)oh sikusoma vzr...kumbe 5m ninfaida..sio mauzo🤔! safi sana
😁 Hongera kwa mtoa mada sio mimi ☺☺Tatizo wwngi sana hawakalkulate muda wa kuwa huko shambani..tabu inaanzia hapo..mradi uliwekeza 2m.ukapata 4m unaona umewin...lakini hapo hapi hujilipi ww..muda..na mengineyo..anywys! hongera tena
Nimekaa kijijini kuanzia 2015 mpaka leo hii nalima nikija town nakaa week moja au mbili tuu then nageuka kijijini kila mwezi mimi mishe mishe tuuuoh sikusoma vzr...kumbe 5m ninfaida..sio mauzo[emoji848]! safi sana
Nimekaa kijijini kuanzia 2015 mpaka leo hii nalima nikija town nakaa week moja au mbili tuu then nageuka kijijini kila mwezi mimi mishe mishe tuuu
MoroHongera sana mkuu unalimia wap ww
Moro