Tuliounguza account za Forex trading

Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.

JISAJILI SASA
Usisite kuomba msaada

TemplerFX | Promo
 
walikufanyia nini ?
Kwa Andile (misifa) niliweka USD 500 ...mwanzoni aliipandisha mpaka USD 800....bahati mbaya sikuitoa..ikaanza kushuka mpaka mwisho haraka sana...
kwa Mkenya niliweka USD 2000 akapaindisha mpaka USD 5500 kwa siku tatu/nne...mimi nikatoa 2000 yangu naye akatoa USD 1500 yake (kama tulivyokubaliana)...ukabaki mtaji USD 2000 ambao ukapotea in no time...tatizo alishaniweka kwenye mood ya kupiga hela sikujua kama ndiyo tulishamalizana
 


Pole sana mkuu uliweka kwa huyu jamaa? https://www.instagram.com/andile_worldwide Na uliweka kwa account then ukampa password ama ulimtumia kimango?
 
ngoja nijaribu
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.

JISAJILI SASA
Usisite kuomba msaada

TemplerFX | Promo
 
Mkuu hizi link zinafanya kazi kweli??
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

TemplerFX | Promo
 
Kwa wale wanaohitaj bonus za kuanza kutrade ni pm nitakudirect namna ya kupata ni rahic n wala hauhitaj kudeposit ili uweze kutoa faida yako....ukiishapata faida unatoa hela yako kiulaini kabisa..unaweza kuitumia kwa matumizi yako au kutransfer to another trading account...
 
Kuna kitu watu hawaelewi
Hizi hela si kuwa zinakuja tu kwako, Kuna wanao poteza na wanaopata
Ukipoteza jua Kuna mtu kachukua hela zako
Ukipata jua Kuna mtu amepoteza

Haitatokea wote mpate


Zero-sum Game
 
Kuna kitu watu hawaelewi
Hizi hela si kuwa zinakuja tu kwako, Kuna wanao poteza na wanaopata
Ukipoteza jua Kuna mtu kachukua hela zako
Ukipata jua Kuna mtu amepoteza

Haitatokea wote mpate
Hakuna mtu anachukua pesa zako ukipoteza. Hakuna mtu unachukua pesa zake ukipata.

Trades ni Wewe, Market Na broker.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TEMPLER
with as minimun as $1 deposit and withdraw, via mpesa, skrill. Huenda ndo broker rahisi zaidi kumtumia, simple deposit and withdraw method, pia easier registration processes.
( https://templerfx.com )

PEPPERSTONE
minimum deposit of $25, no M Pesa. Available is skrill , netteller, direct bank and other ways...
( https://secure.pepperstone.com )

TICKMILL
minimum deposit $100. wako katika majaribio ya Mpesa, na wengine tulishajaribu kudeposit kwa mpesa na ikawa poa. japo ilisitishwa kwa muda. other deposit ways available includes skrill and visa.
NOTE: ukitaka kujisajili hapa hakikisha unatumia Tickmill Seychelles, huko ndipo Tanzania ipo, Haipo katika Tickmill UK.

( http://tickmill.com/seychelles )
 
WHY NOT USE - THE CENT?

Kwa ambao tumeweka real money on the line, nina uhakika tunajua zile feelings inapotokea tunakatazama ka akaunt ketu ndo kanaelekea kuungua... Wahuni wanasemaga "BADAMU BANAMWAGIKA"...

Kuna kila hisia unazipata... Unatamani uvunje simu, uzime data, urudishe muda nyuma hafu usifungue hzo position, unatamani broker akuonee huruma, mana kamtaji ulikopa... And on extreme situations, unatamani uikamate candle uishushe, kama ulisell, au uipandishe kama ulibuy....[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]


Trust me, you are not alone. Hisia kama hz kila mtu anazipata, na zinakuwa mbaya zaidi kama hatuna uelewa hata kidogo wa trading psychology...

Lakini, unaweza kujiandaa, kuzishinda hisia hz kama tu utajiandaa mapema, kabla ya kuanza kutrade na real account.

Brokers waliweka demo accounts ili watu wajifunzie kutrade, lakini it doesnt make sense kutumia demo kwa muda mrefu then kwenda direct kwa real akaunt, why?

Katika market kuna watabe wanaitwa Market Makers, hawa wapo ili ukiloose wapige hela(huu ndo ukweli mchungu), lakini, what if ukaloose $20000 kwa demo? Wanapata sh ngapi? Hawapati hata shilingi. Ila ukiloose $2 kwa real wanapata $2, na kama kuna traders 100 walioloose $2 ..... You do the maths...

Hii ndiyo inayotupa ugumu unapotumia demo na kuhamia real, mazingira yanabadilika kabisa... Kuna kutanua spreads, kuna fakeouts, kuna wicks kwa Stop hunt na mengine mengi "mazuri"[emoji1] ambayo huyapati kwa demo...


Njia pekee ya kucheza na mazingira ya real account, pasipo kurisk kiasi kikubwa cha pesa ni kutumia cent accounts...

Hizi ni akaunt zinazotumia real money na hawa jamaa wanachezaga nazo kama kawaida.

Kuna broker wengi wanao offer cent accounts, ninaowafahamu ni FBS - FBS - online broker on the Forex market na Templer - https://templerfx.com

Kwa templer ( https://templerfx.com) deposit ya 1$ inasoma 100 kwa akaunt ya MT4 na $1 ni 2295 tu.

Kama wewe ni Newbie kabisa, badala ya kuanza na demo, anza na cent account... Ili uweze kuzizoea emotions utakazokutana nazo wakati utakapoenda real standard account, kwa sababu humo utatia mpunga na ukakosea analysis, utaona kabisa kabuku tatu kanavyoteketea...

Usisahau, kusoma Trading Psychology Books...

All the best!
 
Wadau mi nipo Dodoma, nahitaji msaada kwenye Proof of address, nimewatumia Tickmill bank statement, lkn naambiwa haina quality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…