Tuliounguza account za Forex trading

sasa mkuu ukitaka kutoa pesa kwa mpesa ina chuku mda gani hadi kufika.

na mbona sioni option ya ku withdraw kwenye templer
 
sasa mkuu ukitaka kutoa pesa kwa mpesa ina chuku mda gani hadi kufika.

na mbona sioni option ya ku withdraw kwenye templer
Inategemeana na kiasi unataka kutoa, $20 itawah zaidi kufika kuliko $100.

Option ya kuwithdraw ipo katika Menu > Finance > Withdrawals
 
Inategemeana na kiasi unataka kutoa, $20 itawah zaidi kufika kuliko $100.

Option ya kuwithdraw ipo katika Menu > Finance > Withdrawals
na kwenye bonus mi sijaelewa ni kuwa mfano ukafikisha dollar mia 300 utaruhusiwa kutoa yote au wana kiwango maalum
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.

JISAJILI SASA
Usisite kuomba msaada

TemplerFX | Promo
 
hebu nipe njia kamili ya ku deposit, na huwa inachukua mda gani
Menu > finance > deposit then utajaza kama picha hapo... 5 ni amount ya mfano.. Ukibinya deposit, utafuata hatua zinazofuata... Huchukua kuanzia dk5 hv, kuona balance kwa akaunt. Binafsi haijawah kuzidi 30mins cjaona balance.
 
Huwezi kufund kwa bonus acc. Utatakiwa kufungua new live trading account utakayoweza kuifund
 
BROKERS WITH MOBILE MONEY DEPOSIT/WITHDRAWS.

Ukiachana na Templer ( https://templerfx.com ), kuna broker mpya kutoka South ambaye naye amekuja na staili hii ya Mobile Money Deposit/Withdraws.

Broker huyu anayeitwa CIFX Markets ( https://secure.cifxmarkets.com/live-account-register), ameenda mbali zaidi, kwa kuruhusu deposits na withdraws kupitia mitandao tofauti. Kwa sasa anasupport Vodacom Mpesa, Tigo pesa na Airtel money.

Lakini tofauti na Templer, huyu ana minimum amount ya $200.

Kikubwa anachomzidi templer ni spreads.... Hapa, ni hatari!
I hope I'll get to use this broker...

View attachment 758113View attachment 758114
 
Forex..sio mchezo inahitaji juhudi na tricks za hatari..inatakiwa ukae hata 6months..unamaster tricks!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…