Salaam!
Katika kutafuta maisha Kuna kipindi unaamua kujitoa kinaga ubaga kutafuta maisha mbali na nchi yetu ya Tanzania Sasa unafikiria utaanzaje kutoka kwenda huko unaamua kujifunza njia za kutoka Tanzania ili kwenda kuona fursa mbalimbali Sasa moja ya njia hizo ni kupata mualiko wa mkutano na kupata barua ya visa (Visa support letter).
Binafsi niliwahi omba nafasi mbalimbali za kujiunga na mikutano na nilifanikiwa kupata baadhi ya offer ila sijawahi kwenda kutokana na sababu mbalimbali hivyo napenda kufaham mliowahi pata na kwenda mlijifunza kitu gani huko, mlifikia hotelini au kwenye hostel, na mliwezaje kuzoeana na wenyeji ili siku ukitaka kurudi Tena kutafuta maisha iwe rahisi kuingia na kuishi!