sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Mh. Rais naisi Kuna watu wanakudanganya, benki zote za Tanzania kwa sasa hazitoi mkopo kwa mtu yoyote paspo kufanyika search kupitia kitu kinaitwa credit bureau, ambapo benki inayotaka kukopesha ana acceses ya kupata taarifa za mkopaji dhidi ya tabia zake.
Nakumbuka mfumo huu niliwahi utumia kuchunguza mtoto wa kigogo mmoja ambaye mama yake alikuwa amejenga appartment pale Mikocheni, dogo alitaka 12,000,000/= kumbe alishakopa sana na halipi, alitaka anipigie nifukuzwe kazi pale.
Nakamwangalia nakuta ni bonge la kimeo, yaani alishakopa na halilipi kabisa, aise default la hatari ilo, nasikia zile apartment zimeuzwa (sina hakika).
Mh. Rais aliyekopa mikopo benk tano na kuondoka nazo pasipo kukamatwa kama ungekuwa na Tiss ningetaka waanzie hapa.
Ofisi za credit bureau zipo karibu na Serena kama hawajahama. Maana mabenki unawezakuta wamechoma moto nyaraka ili kupoteza ushaidi wa Watanzania waliohusika.
Ninalokwambia nalijua limefanyika jana usiku.