Tuliowahi kufumaniwa bafuni/chooni tukutane hapa

Ogopa sana kukutwa unakata kimbaa lazima mood ikatee... kwanza hakuna mtu mwenye nguvu kama anaezuia mlango wa toilet usifunguliwe akati anakata gogo[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani
 
Nimefumwa juzi kwenye mtihani wa UE(University Examination)na Msimamizi naibia akaniomba ID yangu nikamwambia"Wewe kama nani?"akaja kuchukua ID yangu nikachomoka tukaanza kukimbizana kwenye chumba cha mtihani hadi akachoka ikabidi alale kwenye meza kisha akakimbilia kufunga mlango na kuita walinzi ndo wakaja kunishika ***** zao wangese wale staki ata kuwaskia manina zao.
 
Hii kitu inachekesha sana uwapo chuon! Jamaa yangu ilibidi kufungua kwa lazima kipindi cha mfungo alipo meza karatasi pasipo kutarajia ili kuuaso na ulikuwa umebaka kwel kwel
 
Wee siji kusahau bibi alinifumania napeperusha baiskeli ya maandazi kwenye matofali ya blanketi. Yaani alinifungua periscope ya maparachichi kwenye video.Aisee ilinipuliza maharage
 
Wee siji kusahau bibi alinifumania napeperusha baiskeli ya maandazi kwenye matofali ya blanketi. Yaani alinifungua periscope ya maparachichi kwenye video.Aisee ilinipuliza maharage
hata aijaelewa una maanisha nini!!
 
Ogopa sana kukutwa unakata kimbaa lazima mood ikatee... kwanza hakuna mtu mwenye nguvu kama anaezuia mlango wa toilet usifunguliwe akati anakata gogo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…