Tuliowahi kujamba mbele za watu af tukawa tunanusa kama kunanuka tukutane hapa

Tuliowahi kujamba mbele za watu af tukawa tunanusa kama kunanuka tukutane hapa

mzabhe

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
261
Reaction score
279
Kuna siku nlibanwa na ushuzi sasa nkawa naachia taratibu huku naangalia kama watu washashitukia, najamba then nafunga breki. Muda mwingi nkifanya hivyo kwa ushuzi ambao haunuki inakuwa poa. Sasa siku moja si nkaanza hivohivo mwanzon haukunuka sana, sasa si nkajua ni kama siku zote, nkaachia kama wote af siku hiyo kulikuwa watu ambao nawaheshimu, wote waliziba pua af na mm nkaziba. Sasa cha kushangaza wote walikuwa wananitazama na mm nawatazama, sasa cjui walitaka labda nipuulze uwahi kuisha ule ushuzi, hadi leo sielewi kwa nn walinitazama wote
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] safi bana yanini ujibane kwani kuna ambae hajambi?
 
Na Mimi nimejamba Sasa hivi nambieni mmesikia Kama unanuka humu ndani?
 
Back
Top Bottom