Hahah nimewasahau mbu! Kuna mbu balaa tena nahisi wana sumu maana wakikung'ata inauma balaa.Mahabusu ya Polisi au Magereza?
Mahabusu zote mchana hazina shida, shida inaanza usiku pale MBU wakianza kazi zao na joto kali
Kweli kuna Uzi kama huu!Kuna Uzi wa hivi hivi! Search utauona
Nakumbuka kuna jamaa alielezea jinsi alivyotoroka jela,Kumbe wale Askari wanamfuatilia,kasubiri usiku WA manane ndo Aingie kwa mama yake Ile anaruka ukuta Tu wanae 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 alinichekesha Sana!Kweli kuna Uzi kama huu!
Sahihi Mkuu!Nakumbuka kuna jamaa alielezea jinsi alivyotoroka jela,Kumbe wale Askari wanamfuatilia,kasubiri usiku WA manane ndo Aingie kwa mama yake Ile anaruka ukuta Tu wanae 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 alinichekesha Sana!
Mimi binafsi nimewahi kuwekwa mahabusu mara 6 kwa vipindi tofauti.Sababu ni ugomvi ugomvi.
Nimeanzisha huu Uzi tu share stori za mikasa na uzoefu uliopata ukiwa lock up.
Mimi naanza:
Nikiwa mahabusu woga mkubwa ni wafungwa wenzangu.Unakuta watu kibao humo, wapo walioua,kubaka,wezi, na hata majambazi. Wahalifu Wote mnakaa chumba kimoja.Hii structure inatisha sana.
Kuna wengine wakiwa mahabusu hawana stress kabisa,utakuta kachangamka kama yuko kitaani.Kwangu hata kula nilikuwa najilazimisha ,nakuwa nawaza sana aisee.
Ukiwa mnyonge unaweza kuonewa hata kubakika na cell mate wenzako.
Kikubwa nashukuru nilitolewa ndani ya siku chache nikarudi home dah.
Nanyi wekeni uzoefu wenu tujifunze....
Kuna Uzi wa hivi hivi! Search utauona
we jamaa una matatizo ya akiliMungu nifundishe kunyamaza